26.6 C
Dar es Salaam
Thursday, December 19, 2024

Contact us: [email protected]

Bien Melody ageukia muziki wa Gospo

Sydney, Australia

Mwanamuziki wa kizazi kipya mwenye makazi yake nchini Australia, Bien Melody, ameweka wazi mpango wake wa kuja na wimbo mmoja wa Injili kabla ya mwaka kuisha.

Melody, ambaye amejizolea umaarufu kwenye jamii ya waafrika wanaoishi nchini humo, ameliambia Mtanzania Digital kuwa baada ya kutamba kwenye Rhumba na aina zingine za muziki sasa ameamua kugeukia muziki wa Injili (Gospo).

“Kabla ya mwaka 2022 haujaisha nitaachia wimbo mpya wa Injili, najua wengi watashangaa lakini ni miongoni mwa nyimbo zitakazofanya vizuri zaidi ya zile za ‘Secular’ nilizowahi kuzitoa,” amesema Bien Melody anayetamba na wimbo Single Boy.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles