Zungu Pablo aachia tatu kwenye soundcloud

0
672

Christopher Msekena

MSANII wa kizazi kipya anayeishi Marekani, Zungu Pablo, ameachia ngoma tatu kwenye mtandao wa soundcloud hivyo mashabiki wanaweza kusisikiliza.

Akizungumza na MTANZANIA, Zungu ambaye ni Mtanzania alisema nyimbo hizo ni Be Ok, Do My Own na SGH zikiwa na ladha tofauti ambazo zitawapa raha mashabiki wa muziki huo.

“Nimefungua akaunti kwenye mtandao wa kusikiliza muziki wa soundcloud, mashabiki zangu wanaweza kuingia huko kupata muziki wangu na tayari nimeachia nyimbo hizo mpya,” alisema Zungu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here