30.2 C
Dar es Salaam
Thursday, March 28, 2024

Contact us: [email protected]

Zari kunogesha tuzo za HAPAWARDS USA

NA CHRISTOPHER MSEKENA

MREMBO mwenye ushawishi mkubwa Afrika, Zari The Boss Lady, anatarajiwa kunogesha tuzo za Hollywood And African Prestigious Awards (HAPAWARDS) za nchini Marekani.

Tuzo hizo ambazo zinafanyika kwa msimu wa tatu sasa huwa zinaangazia watu waliofanya vizuri kwenye muziki, filamu, biashara, teknolojia na sekta zingine ambapo mwaka huu kilele chake kitakuwa, Oktoba 18.

Zari atakuwa mshereheshaji mdogo (Co host) wa tuzo hizo ambazo zitaonekana mubashara (live) kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles