22.4 C
Dar es Salaam
Tuesday, June 6, 2023

Contact us: [email protected]

Zaidi ya Dola 114 kujenga mji wa palm, msumbiji

Msumbiji

Serikali ya Msumbiji imesema inahitaji zaidi ya dola za Marekani milioni 114 sawa na pauni milioni 82 kwa ajili ya ujenzi mpya wa mji wa kaskazini wa Palma, ulio katika jimbo la Cabo Delgado, ambao hivi karibuni uliharibiwa na  magaidi wa kiislamu.

Waziri wa utawala wa nchi na huduma za Umma Ana Comoana ameeleza hali ilivyo katika mji wa Palma kuwa ngumu sana, yenye kushtua na yenye vurugu.

Waziri huyo amesema miundombinu na rasilimali fedha vimeharibiwa kwenye shambulio pia ameongezea na kusema serikali inapaswa kujiandaa kuujenga upya mji huo, lakini hakusema ni kwa namna gani fedha zitapatikana kwa ajili ya azma hiyo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,303FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles