29.2 C
Dar es Salaam
Friday, September 20, 2024

Contact us: [email protected]

Yanga yakomaa kileleni, Max atupia

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital

Baada ya kukaa kwa muda mrefu bila kufunga, kiungo mshambuliaji wa Yanga Max Nzengeli amerudi kwenye ubora wake akiifungia timu yake bao la kuongoza dakika ya 45 katika ushindi mabao 2-1 dhidi ya Mashujaa FC, bao la pili likifungwa na Mudathir Yahya dakika 85.

Katika mchezo huo uliopigwa leo Februari 7, 2024 kwenye dimba la Azam Complex, bao pekee la Mashujaa limefungwa na Emmanuel Mtumbuka dakika ya 65.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles