YANGA: HATUJAPOKEA BARUA YA MDHAMINI KUJIUZULU

0
944

ABASI SHABANI – DAR ES SALAAM

Uongozi wa Klabu ya Yanga SC umekanusha uvumi unaoenea kuwa imepokea barua kutoka kwa mmoja ya wadhamini wao akieleza nia ya kujiuzulu kuidhamini timu yao.

Aidha, timun hiyo imeeleza haijawahi kujadili wala kuhitaji fedha za hamasa kwa wachezaji zinazotolewa na mdhamini wao Kampuni ya GSM zipitie mikononi mwao kama inavyoelezwa na baadhi ya watu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here