25.1 C
Dar es Salaam
Saturday, December 9, 2023

Contact us: [email protected]

Xhaka akataa chanjo

NAHODHA wa timu ya taifa ya Uswis, Granit Xhaka, alikataa chanjo ya Corona na sasa amepata maambukizi ya virusi vya ugonjwa huo.

Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Idara ya Habari ya Chama cha Soka nchini humo, Adrian Arnold, akihojiwa na gazeti la Blick leo.

Aidha, utafiti umebaini kuwa sehemu kubwa ya wachezaji nchini Uswis hawajapata chanjo na wengi wao hawana mpango wa kufanya hivyo.

Kwa upande wa England, nako bado kuna giza nene kwani baadhi ya mastaa wa Ligi Kuu, akiwamo Fabian Delph wa Everton, hawataki kuchanjwa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
580,000SubscribersSubscribe

Latest Articles