30.2 C
Dar es Salaam
Thursday, September 23, 2021

Wolper ampa siku mbili mwizi wake

Na BRIGHITER MASAKI

MSANII wa filamu nchini, Jackiline Wolper, ametoa siku mbili mtu aliyeiba fedha zake kuweza kurudisha kabla hajamuanika.

Msanii huyo alitangaza kuibiwa kiasi cha Milioni moja mwishoni mwa wiki iliopita na mtu 

aliyejifanya mteja alipokwenda dukani kwake ‘House of Stylish’ lililopo maeneo ya Sinza, jijini Dar es salaam.

“Nilidhani kuwa mnunuzi wa bidhaa (nguo) kumbe hakuwa na lengo hilo na badala yake akaiba kiasi hicho cha fedha, ninampa siku mbili kuweza kuzirudisha kabla sijamuanika,” alisema msanii huyo.

Wolper amesema aligundua kufanyika kwa wizi huo kupitia camera za CCTV ambazo zimefungwa kwenye duka hilo.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
157,796FollowersFollow
518,000SubscribersSubscribe

Latest Articles