26.4 C
Dar es Salaam
Monday, November 29, 2021

Wizkid aitelekeza familia yake

WizkidLAGOS, NIGERIA

MKE wa Wizkid, Ogudugu Shola, amefunguka na kudai kwamba mumewe huyo ambaye amezaa naye mtoto mmoja, anashindwa kuihudumia familia yake.

Mrembo huyo amedai kwamba, mapenzi ya msanii huyo na mtoto wake anayejulikana kwa jina la Boluwatife, yamekuwa tofauti na mwanzo kihuduma.

“Ukweli ni kwamba nimechoka, nimechoka, nimechoka na mambo ambayo Wizkid anayafanya kwa sasa, kwanza hataki kutoa huduma kwa mwanawe, halafu kwa upande wangu ninaumwa lakini hana habari na sisi, kwa nini?

“Nimeongea sana lakini ninaona kama haina faida yoyote na sasa naendelea kufanya mambo yangu, ila mtoto hana huduma kutoka kwa baba na wala sishindwi kumlea mwenyewe, lakini kwa nini nifanye hivyo wakati baba yake yupo?” alieleza Ugudugu.

 

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
167,383FollowersFollow
526,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles