25.3 C
Dar es Salaam
Monday, January 30, 2023

Contact us: [email protected]

WIMBO WAMTIA MATATANI NAY WA MITENGO

NA MWANDISHI WETU,

Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia msanii wa muziki wa kizazi kipya Nay wa Mitego kwa tuhuma ya kutunga nyimbo ya uchochezi.

Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, Urlich Matei amesema kuwa Nay alikamatwa jana saa nane usiku wilayani Mvomero mara baada ya polisi mkoa wa Morogoro kupewa taarifa ya kutafutwa kwa msanii huyo na jeshi la polisi kanda maalum jiji la Dar es Salaam.

Mpaka muda huu msanii huyo yupo katika kituo cha polisi mkoa wa Morogoro mara baada ya kuletwa kutoka Mvomero.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
208,063FollowersFollow
561,000SubscribersSubscribe

Latest Articles