22.2 C
Dar es Salaam
Monday, October 14, 2024

Contact us: [email protected]

Wiki Hii Mechi Hizi ni za Ushindi Meridianbet, Odds Zimejazwa.

Wiki hii mechi nyingi ni za EFL, Coppa Italia, Spanish Super Cup lakini pia Ligue 1 itaendelea na michezo kadhaa ya EPL pia ikitimua vumbi, Usipange kukosa kubetia mechi hizi kila moja ina Odds kubwa kutoka Meridianbet.

Huko Hispania ukiachana na LaLiga, Spanish Super Cup ni moja ya mashindano pendwa sana, mchezo mkali ni kati ya Real Madrid watakuwa wenyeji wa Valencia, furahia kubashiri Meridianbet ukiwa na odds kubwa.

Wakiwa na msimu mzuri vijana wa Xavi FC Barcelona watakuwa nje ya dimba la Nou Camp kukipiga na Betis, ukiachana na aina ya soka la pasi nyingi na kasi kwa Barca upande wa Betis wana aina yao ya uchezaji wakishambulia pamoja na kukaba pamoja, mbinu za kocha gani kumpiku mwenzake. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet, tembelea maduka ya kubashiri kuonesha umwamba.

Wametoka kumchakaza Chelsea bao 4 kwenye FA, Jeshi la Pep litawafuata Southampton kwenye mchezo mwingine wa EFL ukiachana na aina ya mpira wanaocheza City, Soton unadhani wanaweza kumdhuia Pep? Bashiri huku ukifurahia odds nono kwa mechi hii, hivi unaanzaje kuziacha odds 10.78 za Soton. Bonyeza hapa kuona machaguo mengi Zaidi 1000+

Baada ya kuanza kwa kusuasua kupata matokeo PSG watakuwa uwanjani tena kwenye mchezo wa raundi 18 dhidi ya Angers, huku Troyes akiwakaribisha Marseille uhondo wote wa kubeti unaupata Meridianbet, kila mechi imepewa odds kibao.

Mechi kalii za Coppa Italia wiki hii ni kati ya Milan dhidi ya Torino ni vita kati ya Milan aliyepo nafasi ya 3 huku Torino akiwa nafasi ya 10 kwenye msimamo. Milan ana 1.59 huku Torino akiwa na 4.90. Meridianbet wanakupa nafasi ya kubashiri mubashara aukuturbo mkeka wako.

AC Roma inayonolewa na Jose Mourinho watakuwa na kibarua kingine cha kusaka ushindi mbele ya Genoa, hapa napo una nafasi ya kuonesha ujuzi wako kwenye kubashiri machaguo yapo kibao yanasindikizwa na Odds kubwa.

N.B Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda mkwanja mrefu sana ukicheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni, michezo kama Aviator, TiTAN Dice, Roulette, Fruit Parts, Poker na Mingine mingi. Kingine kikubwa Ukipakua APP ya Meridianbet kisha ukajiunga kwenye APP na Tovuti kisha ukaweka salio unapewa Bonasi ya Ukaribisho. Upewe nini kingine, Jiunge na Meridianbet Ushindi Kiganjani mwako.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles