30.5 C
Dar es Salaam
Tuesday, December 17, 2024

Contact us: [email protected]

Wikendi hii Tusua Pesa Ukiwa na Meridianbet

EPL kuendelea Wikendi hii kwenye viwanja mbalimbali ambapo Everton watakuwa ugenini dhidi ya Chelsea ya Potter ambayo imekuwa na misukosuko mingi baada ya kuwa na matokeo mabaya kwenye ligi. Sehemu ya kupata odds kubwa ni Meridianbet pekee.

 

Lakini pia Epl hiyo haitaishia kwa wababe hao tuu bali kuna Brentford ambaye atazichapa dhidi ya Leicester City ya Brendan Rpgers huku Nyuki hao wakionekana kuwa imara toka wapande ligi kuu msimu huu. Je Brendan Rodgers na vijana wake watafanya nini hapo kesho huku nao pia wakihitaji ushindi?  Meridianbet wameweka odds kubwa kuliko kawaida.

Bayern Munich watakuwa ugenini dhidi ya Bayer Leverkusen wakisaka pointi tatu wazidi kujiimarisha wakati Borrusia Dortmund wao watakuwa nyumbani kuwaalika FC Cologne majira ya saa 2:30 usiku, lakini si hao tuu kuna mechi nyingine itakayowakutanisha RB Leipzig amabye ametolewa ligi ya mabingwa dhidi ya Bochum. Beti sasa na Mabingwa.

Kwenye Serie A, Napoli hawatakuwa na kingine Zaidi ya kuwakaribisha kusafiri hadi Torino  kwenye raundi ya 27, Napoli ni kinara wa kwenye msimamo kwa alama 68 wakati Torino  wakiwa kwenye nafasi ya 8 na alama zao 37. Pia AC Milan watakuwa wageni wa Udinese waliopo nafasi ya 10, Huku Lazio na Rome ya Mourinho watakipiga kuwania pointi tatu kwenye Serie A. Beti hapa.

Paris Saint-German wababe wa Ligue 1 wakiwa kwenye dimba lao la nyumbani, watawakaribisha Rennes, wakati Marseille wakiwa wenyeji wa Reims ambapo hawapo sehemu nzuri kwenye msimamo wa Ligue 1. Na Monaco akiwa nafasi ya 4 atakutana na AC Ajaccio  aliyepo nafasi ya 18. Suka jamvi lako na ubeti sasa.

Kule Laliga mambo yatakuwa ya moto kwelikweli ambapo Barcelona atakiwasha dhidi ya real Madrid kwenye EL Classicco ambapo Xavi na vijana wake mechi ya mwaisho walipokutana na Ancellotti walishinda. Je watafanya nini Jumapili huku Madrid akitaka kulipa kisasi?

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles