26.2 C
Dar es Salaam
Friday, October 15, 2021

WHO: Corona kuua watu 200,000 Ulaya

SHIRIKA la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) limeonya kuwa Bara la Ulaya linaweza kuwa na vifo vipya 236,000 vitokanavyo na Corona ifikapo Desemba, mwaka huu.

Takwimu za WHO zinaonesha kuwa tayari Ulaya ina wagonjwa wa Corona zaidi ya milioni 65, huku waliofariki kwa ugonjwa huo wakifikia milioni 1.3.

Hata hivyo, Shirika hilo limedai kuwa juhudi za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya ugonjwa huo zimepuuzwa, ikiwamo nchi mbalimbali kulegeza masharti ya kuzuia mikusanyiko na watu kusafiri.

Alichokisema Mkurugenzi wa WHO barani humo, Hans Kluge, kumekuwapo na ongezeko la wagonjwa, kama ilivyo kwa idadi ya wanaopoteza maisha kila siku.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
161,753FollowersFollow
521,000SubscribersSubscribe

Latest Articles