27.5 C
Dar es Salaam
Friday, July 1, 2022

Wezi wa mtandaoni wamvuruga Nedy Music

Na FREDRICK NESTORY (DSJ)

STAA wa Bongo Fleva, Said Seif  ‘Nedy Music’, amelaani vikali kitendo cha wezi wa mtandaoni kutumia majina ya watu maarufu kuwaibia watu.

Nedy Music ametumia ukurasa wake wa Instagram kuwataka watu hao kuacha kufanya hivyo kwa sababu wizi wao unawachafua mastaa ambao hawahusiki na wizi huo.

“Watu wanaibiwa hela, wanawake wanatongozwa na kuombwa picha za utupu wakidhani ni meseji zangu kumbe sihusiki, nawaomba muache mnaofanya hivyo,” alisema Nedy.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
195,419FollowersFollow
544,000SubscribersSubscribe

Latest Articles