28.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, March 22, 2023

Contact us: [email protected]

Waziri Mkuu: Serikali kusambaza umeme maeneo yote ambayo hayajaunganishwa

Mwandishi Wetu, LindiWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kusambaza umeme katika maeneo yote ambayo bado hayajaunganishiwa nishati hiyo nchini yataunganishiwa, ikiwamo na tarafa ya Kilimarondo.

Amesema hayo jana Jumamosi Novemba 17, katika ziara yake mkoani Lindi na kuongeza kuwa Rais John Magufuli anataka kuona kila nyumba ya Mtanzania inapata umeme tena kwa gharama nafuu.

“Serikali imetenga fedha nyingi zitakazotosheleza kusambaza umeme katika maeneo yote kwa gharama ya Sh 27,000 pekee.

“Aidha, Serikali haitawajibika tena kulipia gharama za nguzo wala fomu za maombi ya kuunganishiwa umeme kwa sababu tayari gharama hizo zimeshabebwa na Serikali,” amesema.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
211,089FollowersFollow
563,000SubscribersSubscribe

Latest Articles