Elizabeth Kilindi na RAMADHAN HASSAN
–Njombe/DODOMA
MKUU wa Mkoa wa Njombe, Christopher ole Sendeka amesema wamelazimika kuwakamata wazazi wa watoto ambao wamepoteza maisha kwa sababu ya ushahidi wa kimazingira.
Ole Sendeka alitoa kauli hiyo jana katika maadhimisho ya Wiki ya Sheria.
Alisema mkoa huo una kesi nyingi za mauaji, lakini tatizo ni kukosa ushahidi.
‘’Usiri unakwamisha ukalimishwaji kesi hizi za mauaji, unakuta mtu anatakiwa kutoa ushahidi hatokei mahakamani.
“Kwa sababu kesi hii ni ya jinai inatakiwa ushahidi wa kutosha, akitoa ndipo wanapochukua sheria mkononi kwa kuona haki haikutendeka,” alisema Sendeka.
‘’Tumewakamata wazazi …
Kwa habari zaidi jipatie makala yako ya gazeti la MTANZANIA.