23.8 C
Dar es Salaam
Monday, September 25, 2023

Contact us: [email protected]

Watoto wa 50 Cent, Kanye West wapenzi?

50-centNEW YORK, MAREKANI

MSANII wa hip hop nchini Marekani, Curtis Jackson ‘50 Cent’ amemtaka msanii mwenzake, Kanye West, aondoe wasiwasi juu ya urafiki wa watoto wao.

50 Cent ana mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu, huku mtoto wa Kanye West akiwa na miaka miwili na sasa majina ya watoto hao yameanza kuwa na nafasi kubwa katika mitandao ya kijamii.

50 Cent kupitia akaunti yake ya Twitter aliandika kwamba mtoto wake, Sire ana sura zuri, huku akimtaka Kanye West asiwe na wasiwasi mwanawe kama atatoka na mtoto wake, North West, kauli ambayo inadaiwa inasubiri majibu ya Kanye West.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,718FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles