25.1 C
Dar es Salaam
Tuesday, December 10, 2024

Contact us: [email protected]

Washindi 30 wa Betika wajazwa pesa ndani ya wiki mbili

HIKI wanachofanya Betika sasa ni kubwa kuliko, hawa jamaa wameamua, unaambiwa kwamba watu wanazidi kujizolea mapesa na sasa taarifa mpya ikufikie kwamba kuna washindi 30 wamejizolea mapesa yao wakipatikana ndani ya wiki mbili tu.

Washindi hawa wa Betika ambao sasa wanafanya matumizi ya pesa zao, wameingia katika rekodi hiyo ya kibabe wakicheza Jackpot pekee ya Kitonga Deile inayotoa washindi wengi ambayo sasa ndio habari ya mjini.

Kitonga Deile inataka kutoa washindi zaidi wavune pesa,kumbuka siku chache zilizopita iliwaibua washindi 12 ikiweka rekodi ya Jackpot inayoibua washindi wengi katika Jackpot moja hapa Tanzania lakini sasa ikatanua rekodi yake zaidi ikiongeza washindi 18 na kufanya washindi kufikia 30.

Wewe unayesoma hapa ambaye hujacheza Kitonga Deile Jackpot una nafasi ya kuungana na washindi hawa 30 unachotakiwa changamkia fursa hii ya kibabe kwa kuingia katika tovuti yetu kupitia www.betika.co.tz ukifika hapo gonga pale kulipoandikwa  Kitonga Deile Jackpot kisha chagua mechi zako ambazo ni 8 tu na ushinde kibabe.

Kumbuka Betika kupitia Kitonga Deile Jackpot inaweza kukufanya ukashinda hadi Sh 1,000,000 kila siku ukicheza.

Cheza Kitonga Deile Jackpot ambayo  ni rahisi kuliko nyingine yoyote ili nawe ubadilishe kipato chako uwe sehemu ya ushuhuda huu wa wale wanaojizolea mapesa yao kutoka kwa wababe Betika. Kwa maelezo zaidi kuhusu Kitonga Deile Jackpot  na huduma zetu zingine kutoka Betika usisite kuwasiliana nao kwa namba 0659 070 700.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles