WASANII BONGO MOVIE WANAJULIKANA KULIKO FILAMU ZAO

0
433

Na GLORY MLAY, DAR ES SALAAM


RAPA kutoka kundi la Weusi, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’, amesema wasanii wengi wa Bongo Movi wanajulikana kwa vitu vingine kuliko filamu zao.

Nikki wa pili alisema mara nyingi habari zinazosomwa katika mitandao ya kijamii au kusikika, zinawahusu wasanii wa Bongo Move na habari zao nyingi hazihusiani na filamu zao.

“Mara nyingi tunaposoma habari za wasanii wa Bongo Movie hatupati kuhusu kazi zao za filamu, tunachopata ni vya nje na kazi zao, hivyo nawaomba wakati wanalalamika kazi zao zilindwe, wanatakiwa wajitafakari zaidi,” alieleza Nikki wa Pili.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here