24.1 C
Dar es Salaam
Friday, October 22, 2021

Wanajeshi washtakiwa kwa mauaji Sudan

-Sudan

Wanajeshi wa jeshi la Sudan wamekamatwa na kushtakiwa kwa mauaji ya waandamanaji wawili katika mji mkuu Khartoum, wiki iliyopita.

Mkuu wa baraza la mpito nchini humo, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, ameamuru uchunguzi kuhusu mauaji ya siku ya Jumanne yaliyotokea nje ya makao makuu ya jeshi mjini Khartoum.

Pia raia nchini Sudan wameendelea kudai haki kwa serikali ya nchi hiyo  kwa vitendo vya ukatili mkubwa ambao umetokea takribani miaka miwili iliyopita.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
162,740FollowersFollow
522,000SubscribersSubscribe

Latest Articles