22.1 C
Dar es Salaam
Wednesday, May 31, 2023

Contact us: [email protected]

Wanafunzi 21 wapoteza Maisha Nigeria

-Niamey, Nigeria

Afisa wa Chama cha walimu nchini Nigeria, Mounkaila Halidou ametoa ripoti ya vifo vya wanafunzi 20 kwa ajali ya moto iliyotokea shule moja Mjini Niamey nchini humo.

Afisa halidou amesema wanafunzi waliopoteza Maisha wa madarasa ya awali baada ya majengo 21 yaliyojengwa kwa nyasi kushika moto kwa kuanzia lango kuu la kuingilia shuleni hapo.

Pia Shule ina jumla ya wanafunzi 800 na wanafunzi walilazimika kupanda ukuta ilikujiokoa katika janga hili la moto.

Waziri Mkuu wa Nigeria Ouhoumoudou Mahamadou ametembelea shule hiyo na kutoa salamu za rambirambi kwa wazazi wa watoto hao.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,205FollowersFollow
567,000SubscribersSubscribe

Latest Articles