29.2 C
Dar es Salaam
Monday, October 18, 2021

WAFANYABIASHARA KIZIMBANI KWA KUHUJUMU UCHUMI

 

Na Mwandishi wetu,

Mfanyabiashara Sultan Ibrahimu na Agustino Kalumba wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za uhujumu uchumi.

Washtakiwa wanadaiwa kula njama na kusafirisha magari matatu ya kifahari wakiwa wameyaficha kwa nguo za mitumba, viatu na mabegi.

Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba, Wakili wa Serikali Mwandamizi Nassoro Katuga alidai washtakiwa kwa kufanya hivyo waliisababishia serikali hasara ya sh milioni 287,801,828.19

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
162,310FollowersFollow
522,000SubscribersSubscribe

Latest Articles