25.6 C
Dar es Salaam
Thursday, October 28, 2021

Wabunge wafanya ziara TBL Plc

Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Plc, Jose D Maron, akiwaeleza Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara juu ya shughuli za kampuni  wakati walipotembelea kiwanda cha bia cha Ilala mkoani Dar es Salaam mwishoni mwa  wiki.

Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Plc, Jose D Maron (katikati) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara,Mh.Davis Kihenzile (Kulia) wakati Wabunge wa kamati hiyo walipotembelea kiwanda cha bia cha Ilala mwishoni mwa wiki (Kushoto) ni Meneja wa masuala ya kodi wa TBL Plc, Avito Swai.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
163,502FollowersFollow
523,000SubscribersSubscribe

Latest Articles