23.7 C
Dar es Salaam
Saturday, September 23, 2023

Contact us: [email protected]

VITA YA UBINGWA vs VITA YA TOP 4, MAMBO NI MOTO VIWANJANI

Tengeneza Faida na Odds Bomba Za Meridianbet Wikiendi Hii!

Tunaendelea tulipoishia wikiendi iliyopita. Manchester United na muendelezo wa michezo muhimu nap engine yenye kuamua hatma yao msimu huu.

PSG nao wamerudishwa kwenye Ligue1, UEFA hawapawezi. Uturuki nako kunapambamoto, SuperLig kwenye ubora wake. Afrika napo mambo ni bambam kunako mashindano ya CAF, usikae mbali na Meridianbet!

Izundue wikiendi kwa mchezo wa Mashindano ya CAF barani Afrika. El Zamalek uso kwa uso na Wydad Casablanca. Huu ni mchezo unaozikutanisha timu mbili zenye uwezo mzuri wa kuzifumania nyavu za mpinzani. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.82 kwa Zamalek, kazi ni kwako!

Baada ya kupigwa na kitu kizito kule Etihad Stadium wikiendi iliyopita, Manchester United watakua Old Trafford kuwaalika Tottenham Hotspur. Huu ni mchezo wa 3 na wa mwisho kwa United mwezi huu kunako EPL.

Bila shaka, huu ni mchezo mgumu kwa timu zote katika kujitengenezea nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Hii hapa Odds ya 2.20 kwa United.

Vita ya top 4 itanoga zaidi pale ambapo, Arsenal watawaalika Leicester City. Huu ni mchezo ambao utafuata baada ya United vs Spurs (jumamosi). Ni dhahiri, The Gunners wataingia uwanjani wakiwa wanajua wapinzani wao wamemalizana vipi hapo awali. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.50 kwa Arsenal.

Kule kwenye Ligue 1, PSG watawaalika Bordeaux katika muendelezo wa ligi kuu soka nchini humo. Kombe pekee ambalo vinara wa ligi hiyo (kwa sasa) – PSG wanapaswa kuliwania zaidi msimu huu ni hili baada ya kuambulia kichapo kwenye Ligi ya Mabingwa na kutolewa. Watafanikiwa wikiendi hii? Ifuate Odds ya 1.11 kwa PSG.

Funga wikiendi na aanza wiki mpya kwa mchezo wa Super Lig kule nchini Uturuki. Galatasaray kuchuana na Besiktas! Hawa ni mahasimu katika historia ya soka la kituruki. Dakika 90 ndani ya uwanja zitaamua nani ni mbabe kuliko mwingine. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.43 kwa Galatasaray.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,699FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles