27.3 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 1, 2021

Virusi vya corona; Uingereza kufunga shule miezi miwili, wagonjwa wafikia 16

Uingereza

Uingereza inaandaa mpango wa dharura ambapo huenda ikaamuru shule zote nchini humo kufungwa kwa miezi miwili kutokana na virusi vya corona.

Hatua hiyo inatokana na wagonjwa watatu kuongezeka jana na kusababisha kufungwa kwa Shule ya Buxton ambapo kwa sasa idadi ya wagonjwa wa virusi hivyo nchini humo imefikia 16.

Mipango ya dharura pia licha ya shule hizo kufungwa pia tayari hafla kubwa za michezo, mikusanyiko ya watu na sherehe za muziki zimepigwa marufuku nchini humo.

Aidha, mechi za Ligi Kuu na Kombe la FA ziko kwenye hati hati au kuchezwa nyuma milango iliyofungwa bila mashabiki.

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
167,554FollowersFollow
526,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles