23 C
Dar es Salaam
Wednesday, September 18, 2024

Contact us: [email protected]

Video ya Jux yachezwa MTV Base

juxNA ELLY MHAGAMA (TUDARCO)

MSANII wa Bongo Fleva, Juma Mussa (Jux) ametambulisha video ya wimbo wake mpya aliouita ‘I m looking for you’ ambao picha za video yake imefanyika nchini Afrika Kusini.

Katika video hiyo aliyomshirikisha mwana hip hop, Joh Makini, ni ya kwanza kwa msanii huyo kuchezwa katika kituo cha kimataifa cha MTV Base.

Wimbo huo uliochezwa katika kituo hicho jana majira ya saa 12, video yake imeandaliwa na muongozaji kutoka Afrika Kusini, Justin Compos wa Gorilla Films huku ‘audio’ yake ikiandaliwa na prodyuza Nahreel.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles