31.2 C
Dar es Salaam
Saturday, December 2, 2023

Contact us: [email protected]

Video vixen ampagawisha 2nice Mnyama

CHRISTOPHER MSEKENA

KUTOKA nchini Canada, msanii nyota pande hizo, Mulumba Alphonse maarufu kama 2nice Mnyama, amevutiwa na utendaji kazi wa mrembo (video vixen) aliyetokea kwenye video yake, Moto.


Akizungumza na MTANZANIA, Mnyama ambaye ni bosi wa lebo ya Money Gang Empire, alisema msichana huyo anayeitwa Michelle Diamond ameitendea haki video yake ya Moto iliyotoka hivi karibuni.

“Nampenda sana Michelle ni msichana mwenye ‘spirit’ ya kufanya kazi, anaijua vizuri kazi yake amechangia video yangu ya Moto kuendelea kufanya vizuri kwenye chaneli yangu ya YouTube,” alisema msanii mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrsia ya Kongo (DRC) aliyewahi kuishi Tanzania na Afrika Kusini.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
579,000SubscribersSubscribe

Latest Articles