21.5 C
Dar es Salaam
Tuesday, July 23, 2024

Contact us: [email protected]

Vanessa: Wasanii tubadilike kulingana na teknolojia

vanesNA ADAM MKWEPU
MSANII wa Bongo Fleva ambaye ni balozi wa Kampuni ya simu ya Samsung, Vanessa Mdee, amewataka wasanii wenzake waishi kwa kubadilika kulingana na mabadiliko ya teknolojia duniani.
Vanessa alisema hayo wakati wa uzinduzi wa simu mpya ya Sumsung 4G LTE ‘Muvika’ uliofanyika jijini Arusha ambapo alisema uwe ukurasa mpya kwa wasanii wenzake kwa kutumia simu kwa faida.
Naye mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo, Hyeongjun Seo, alisema uzinduzi huo umefanyika Arusha kwa kuwa wanaheshimu uhusiano wao na wakazi wa mkoa huo.
“Arusha ni mkoa muhimu kibiashara na hatuangalii tu kuendelea kutoa ubora wa uzoefu wetu kwa wateja lakini pia kuwapa bidhaa za kisasa na za kibunifu zinazoendana na soko la kimataifa,” alieleza Seo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles