30.2 C
Dar es Salaam
Friday, March 29, 2024

Contact us: [email protected]

Utafiti: Watoto wa Tanzania wana maungo imara kiafya kuliko wengine duniani

img-20120508-wa013

Taifa la Tanzania ndilo lenye watoto wenye afya nzuri ya maungo duniani, kulingana na utafiti uliofanywa na wanasayansi wa Australia.

Viwango vya afya ya maungo ya watoto milioni 1.1 walio kati ya umri wa miaka tisa hadi 17 kutoka mataifa 50 vilifanyiwa ukaguzi.

Watoto hao walifanyiwa zoezi la kukimbia umbali wa mita 20, ili kukagua afya za maungo yao.

Grant Tomkinson, mmoja ya watafiti wakuu wa chuo cha Kusini mwa Australia ameeleza kuwa watoto wa Tanzania waliibuka washindi kutokana na utendaji wao. (Source BBC)

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles