23.8 C
Dar es Salaam
Sunday, June 4, 2023

Contact us: [email protected]

UMEME WAMUUMBUA IDRIS SULTAN MBELE YA WAGENI

NA JUMA3TATA RIPOTA

MCHEKESHAJI na mshindi wa shindano ya Big Brother Afrika mwaka 2014, Idris Sultan amesema baada ya kuwekeza shilingi milioni 250 kwenye bidhaa yake mpya ya viatu (Sultan Foremen), aliishiwa kabisa fedha mpaka akashindwa kumudu kununua umeme wa elfu kumi.

Akizungumza na Mtangazaji Dkt Fredrick Bundala katika programu yake ya Chill na Sky, Idris Sultan alisema kuna siku ilibidi awadanganye wageni waliomtembelea kuwa nyumba anayoishi ina hitirafu ya umeme kumbe ukweli ulikuwa umeishiwa.

“Unakuta mtu ulikuwa unamsaidia harafu siku wewe unampigia unamuomba hela ya umeme tu, harafu kuna jamaa wanakuja kunitembelea na umeme umekata home na anasema hana, wale wageni walipokuja nikawaambia nyumba yangu ina-shot, ilinibidi niwadanganye tu” alisema Idris Sultan.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,284FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles