28.1 C
Dar es Salaam
Friday, October 11, 2024

Contact us: [email protected]

UJERUMANI: ANGELA MERKEL ASHINDA UCHAGUZI MKUU

Kansela wa ujerumani , Angela Merkel ameibuka kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu nchini humo kwa kipindi cha nne.

Markel kupitia Chama chake cha CDU ameshinda kwa asilimia 32.9 huku wengi wakidai kuwa hakuungwa mkono kwa kiasi kikubwa ndani ya chama chake.

Hata hivyo, inakadiriwa kuwa chama chenye msimamo mkali dhidi ya wahamiaji cha AFD kinakadiriwa kuwa kwa mara ya kwanza kitashinda asilimia 13 ya viti bungeni.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa chama cha AfD Frauke Petry, anasema Wajerumani wameshuhudia tetemeko la ardhi kisiasa nchini humo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles