Uhamiaji yakamlisha nyimbo tatu

0
366

NA VICTORIA GODFREY

UONGOZI Bendi ya Idara ya Uhamiaji umesema tayari umefanikiwa kukamilisha kurekodi nyimbo tatu hadi sasa.

Akizungumza na MTANZANIA jana, kiongozi wa bendi hiyo Matei Joseph, alitaja nyimbo hizo ni Bamatta, Uhamiaji mtandao na Hongera Magufuli.

“Tuna nyimbo nyingi tulizoandaa na tumeanza na nyimbo tatu kurekodi na tutaendelea na mpango wa kuhakikisha tunarekodi nyimbo nyingi zaidi,”alisema Joseph.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here