24.8 C
Dar es Salaam
Tuesday, May 30, 2023

Contact us: [email protected]

UCHAGUZI K’NDONI, SIHA: RIPOTI YAFICHUA MAZITO


Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM  |  

ZIKIWA zimepita siku 13 tangu ulipofanyika uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni na Siha, taarifa ya tathmini ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), imeibua mazito.

Kati ya yaliyobuliwa katika taarifa hiyo ni tukio la kuibwa kwa sanduku la kura na watoto wadogo kupandishwa kwenye majukwaa ya kampeni jambo ambalo ni kinyume cha sheria.

Mbali na hilo, katika ripoti hiyo ya tathmini inadaiwa baadhi ya viongozi wa Serikali akiwamo waziri mmoja (jina linahifadhiwa), alitumia gari la Serikali katika kampeni kwenye uchaguzi wa Kinondoni.

Kutokana na hali hiyo, tathmini ya LHRC imetoa kasoro 11 katika uchaguzi huo wa marudio ambao walidai vyama vya upinzani viligandamizwa tofauti na chama ….

Kwa habari zaidi jipatie nakala ya gazeti la MTANZANIA.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,198FollowersFollow
567,000SubscribersSubscribe

Latest Articles