29.2 C
Dar es Salaam
Monday, October 18, 2021

#UBUNIFU


Mshauri wa Usanifu wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd. Adeodatus Kakorozya, akionyesha Nembo ya Ubunifu ya Urithi aliyoshinda katika shindano lililoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii la kubuni nembo ya Urithi, kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa nembo hiyo jijini Dar es Salaam leo. Kakorozya amewashinda washiriki wengine zaidi ya 100 waliowasilisha Nembo zao. #MtanzaniaDigital

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
162,310FollowersFollow
522,000SubscribersSubscribe

Latest Articles