29.4 C
Dar es Salaam
Sunday, October 13, 2024

Contact us: [email protected]

Tyga amvisha pete Kylie Jenner

Tyga, Kylie Jenner
Tyga, Kylie Jenner

NEW YORK, MAREKANI

BAADA ya kuuweka sawa uhusiano wao, Tyga ameamua kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake, Kylie Jenner.

Wawili hao waliachana miezi mitatu iliyopita, lakini hivi karibu kuna taarifa kwamba wawili hao wamemaliza tofauti zao na wanatarajia kuoana.

Kupitia akaunti ya Instagram, Kylie ameweka picha mbalimbali akiwa na mpenzi huyo huku wakiwa wanaonesha pete hiyo ya almasi.

“Nina mipango ya mbali na Tyga, kwa sasa kichwa changu kinawaza kuolewa na Tyga na ninaamini muda wowote tunaweza kufanya hivyo,” aliandika Kylie.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles