24.2 C
Dar es Salaam
Friday, September 17, 2021

TUNDU LISSU: NITAFANYIWA UPASUAJI WA MWISHO JUNI 4

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM


MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), amesema atafanyiwa upasuaji wa mwisho Juni 4, mwaka huu.

Upasuaji huo ni mwendelezo wa matibabu aliyokuwa akifanyiwa katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya alikopelekwa akitokea Dodoma baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 akiwa nje ya makazi yake mjini Dodoma Septemba 7, mwaka jana.

Lissu ambaye kwa sasa yuko nchini Ubelgiji kwa matibabu, jana alionekana kwenye video iliyorekodiwa na mmoja wa marafiki zake waliomtembelea hospitalini, akisema baada ya kufanyiwa upasuaji huo atakwenda kwenye mafunzo ya viungo.

“Juni 4 mwaka huu nitafanyiwa upasuaji wa mwisho na kutibu sehemu zote ambazo hazijakaa sawa, baada ya hapo nitaenda tena kwenye mafunzo ya viungo.

Kwa habari zaidi jipatie nakala ya gazeti la MTANZANIA.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

12,054FansLike
2,941FollowersFollow
18,400SubscribersSubscribe
- Advertisement -spot_img

Latest Articles