27 C
Dar es Salaam
Tuesday, November 19, 2024

Contact us: [email protected]

Tume ya Umwagiliaji yaanza upembuzi mabonde ya Umwagiliaji

Na Safina Sarwatt, Mwanga

Zaidi ya wakulima 1,770 wanaotumia skimu ya Kilimo cha umwagiliaji ya Kwakachuru iliyopo kata ya Kigonigoni Wilaya ya Mwanga Mkoa Kilimanjaro, wanatarajia kuanza kunufaika na skimu hiyo baada ya Tume ya umwagiliaji Kanda ya Kaskazini kuanza mchakato wa upembuzi yakinifu wa mradi huo kuanza kufanya kazi.

Mbunge wa Jimbo la Mwanga, Joseph Tadayo, ameyasema hayo leo Alhamisi Machi 4, 2021 wakati wa zoezi la uzinduzi wa mwanzo wa upembuzi yakinifu kwa ajili ya utekelezaji wa uboreshaji wa skimu za umwagiliaji zilizopo mkoa wa Kilimanjaro.

Hafla hiyo uliofanyika Katika Kata ya Jipe Tarafa ya Jipendea na kuwahusisha madiwani wa kata za Jipe, Kigonigoni na Kwakoa ambazo zipo ukanda wa Tambarare ya Mashariki, Wataalamu kutoka Tume ya Umwagiliani Kanda pamoja na Wataalamu kutoka ardhi mkoa wa Kilimanjaro.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
591,000SubscribersSubscribe

Latest Articles