27.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, February 8, 2023

Contact us: [email protected]

Triple R & Z waachia ‘Hakuna Matata’

NA CHRISTOPHER MSEKENA

KUNDI la Triple R & Z linaloundwa na watoto wenye vipaji kutoka Tanzania na Uingereza, limewashukuru mashabiki kwa kuipokea vyema video ya wimbo wao mpya, Hakuna Matata.

Triple R & Z, linaloundwa na wasanii Rehanna Xoxo, Raheel Tripler, Raif Tripler na Zaiden, limekuwa likifanya vizuri kupitia nyimbo zake Zawadi, Kila Kona waliyomshirikisha Dully Sykes, Good Day na Hakuna Matata aliyotoka Jumatatu wiki hii.

Mlezi wa kundi hilo ambalo lipo chini ya G-Project, G Lover alisema: “Nawashukuru mashabiki kwa wimbo, Hakuna Matata kutazamwa na watu wengi kwenye YouTube ndani ya muda mfupi, Triple R & Z bado tunahitaji sapoti ili kundi lizidi kufanya vizuri,

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
208,871FollowersFollow
561,000SubscribersSubscribe

Latest Articles