TOL Gases yatoa gawio la bilioni 1/- kwa wanahisa

Mwandishi wetu-Dar es Salaam Kampuni ya TOL Gases Limited, imetangaza kutoa gawio la Sh bilioni moja kwa wanahisa wake ikiwa ni mara ya kwanza kufanya hivyo kwa kipindi ha miaka 20 tangu walipoingia kwenye Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE). Hayo yamesemwa leo Juni 28, na Mkurugenzi Mtendaji wa TOL Gases Limited,  Daniel Warungu wakati … Continue reading TOL Gases yatoa gawio la bilioni 1/- kwa wanahisa