23.3 C
Dar es Salaam
Saturday, April 20, 2024

Contact us: [email protected]

THE LOST HEARTS KURINDIMA STARTIMES

Startimes wanakuletea Tamthilia nzuri ambayo itavutia macho ya watazamaji wengi iitwayo THE LOST HEARTS, itaanza kurushwa siku ya Jumapili tarehe 27 mwezi oktoba  kwenye chaneli ya ST Novela Eplus saa 3:45 Usiku. Tamthilia hii itakuja baada ya Tamthilia ya Blood Sisters  kuisha.

Hivi utafanya nini endapo rafiki yako mpendwa kakuchukulia mpenzi wako? Hiki ni kionjo tu ndani ya Tamthilia ya The Lost Hearts, ambapo waigizaji nguli na wahusika wakuu wa tamthilia  hii Tessa na Magra ambao ni marafiki wakaribu sana wanakuja kua maadau kwa sababu tu ya mmoja wao anamsaliti mwenzake kwa kutembea na mpenzi wa mwenzie,hii tamthilia itatuonyesha namna inavyotesa kwa rafiki yako mpendwa kukuchukulia mpenzi wako.

Tamthilia kwa Ufupi

Tessa,ambaye ni  mbunifu wa mitindo na Marga ambaye ni malkia wa urembo na model, ni marafiki wa karibu wanaoshirikiana kutimiza ndoto zao licha ya ugumu wa maisha yao. Walakini, dhamana yao inapimwa wakati Caloy anaingia katika maisha yao. Caloy ana uhusiano wa kihistoria na Marga, lakini anapendelea kuweka mahusiano ya siri. Kisha Caloy akakutana na Tessa na wakapendana, ambapo wakasababisha Marga abadilishe uamuzi  wa kumrudisha kwake. Wakati huo huo, mahusiano ya Caloy na Tessa yanajaribiwa wakati Jaime, bosi wa Tessa na mjane wa marehemu ya Tessa, anapoanza kumpendelea. Pamoja na hali ya wasiwasi kati ya marafiki na wapenzi inakua, bila kutarajia, maisha ya Caloy, Marga, Tessa na Jaime yanageuka ghafla na kua mwelekeo tofauti kutokana na kosa moja la ulevi. Baada ya hayo, kizazi chao kinaendelea kuchochea uhusiano bila kujua.

Kuendelea kupata uhondo huu wa Tamthilia ya The Lots Hearts Lipia kifurushi cha Mambo Tsh 14,000 Tu!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles