25.6 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 1, 2021

The Game achora tattoo ya Kobe Bryant

New York, Marekani

MKALI wa muziki wa hip hop, Jayceon Taylor maarufu kwa jina la The Game, mapema wiki hii aliamua kuchora tattoo juu ya jicho kwa ajili ya kumkumbuka nyota wa mchezo wa kikapu Kobe Bryant aliyepoteza maisha.

The Game anaamini Bryant alikuwa mmoja kati ya mastaa wa kikapu duniani, hivyo kuondoka kwake kumeacha pengo kubwa sana. Kutokana na hali hiyo ameamua kuchora namba 8 ambayo ni jezi aliyokuwa anaitumia katika timu ya Los Angeles Lakes.

Bryant alipoteza maisha kwa ajili ya helikopta, Junuari 26, huku akiwa na mtoto wake wa kike Gianna pamoja na watu wengine saba. Mbali na The Game kuchora tattoo hiyo, lakini wapo mastaa mbalimbali ambao wamefanya hivyo kama vile rapa 2 Chainz ambaye alichora namba ya jezi kwenye miguu yake yote miwili.

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
167,522FollowersFollow
526,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles