26.3 C
Dar es Salaam
Tuesday, November 30, 2021

Tarehe uchukuaji fomu Yanga SC yasogezwa mbele

 

Lulu Ringo, Dar es Salaam


Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imesogeza mbele tarehe ya mwisho ya zoezi la kuchukua na kurudisha fomu za kugombea uongozi katika klabu ya Young Africans.

Awali zoezi hilo lilipangwa kukamilika leo Novemba 14 limesogezwa hadi Novemba 19 mwaka huu.

Aidha kamati ya uchaguzi ya TFF na kaamati ya utendaji ya klabu ya Young Africans zinatarajia kukutana ijumaa Novemba 16.

Uchaguzi wa Young Africans unatarajia kufanyika Januari 13, 2019 nafasi zinazogombewa zikiwa ni mwenyekiti, makamu mwenyekiti na wajumbe wanne wa kamati ya utendaji.

 

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
167,451FollowersFollow
526,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles