25.5 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 11, 2024

Contact us: [email protected]

Tanzania namba mbili kuogelea Afrika Kanda ya 3

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Tanzania imefanikiwa kumaliza katika nafasi ya pili katika mashindano ya kuogelea ya Afrika Kanda ya Tatu, yaliomalizika leo Novemba 25, 2023, Kigali, Rwanda.

Timu ya Tanzania ambayo ilikuwa ndiyo bingwa mtetezi katika michuano hiyo, imefanikiwa kumaliza nafasi hiyo baada ya kutwaa medali zaidi ya 100.

Katika mashindano hayo yaliyoshirikisha Mataifa 11, nafasi ya kwanza ni Uganda na tatu ni Kenya.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles