29.7 C
Dar es Salaam
Wednesday, August 17, 2022

Syria: Wakimbizi wameanza kurejea nyumbani

Wananchi wa Syria waliokuwa wamekimbia makazi yao wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka nane sasa, wameanza kurejea kwenye makazi yao ingawa yameharibika vibaya.

Wakimbizi hao wanarejea katika mji wa Homs ambako watakabiliwa na changamoto kubwa ya ukarabati wa makazi hayo.

Kwa ujumla vita hivyo vimeleta athari kubwa katika nyanja zote zikiwemo za kiuchumi, kisiasa na kijamii kwa ujumla wake.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
198,905FollowersFollow
550,000SubscribersSubscribe

Latest Articles