25.2 C
Dar es Salaam
Thursday, April 25, 2024

Contact us: [email protected]

Super Woman kusaidia wanawake

Beatrice Kaiza

MSANII wa muziki wa bongo fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amesema kuelekea siku ya Wanawake Duniani, Machi 8, wamejipanga kufanya mapinduzi kwa kupitia kampeni yao ya ‘Super Woman’ ambapo watatoa mitaji kwa wanawake. Gigy Money ambaye ni mmoja kati ya wanawake

wanaoiendesha kampeni hiyo, alizungumza na MTANZANIA jana na kusema, mwanamke anastahili kupendwa, kuthaminiwa na kupewa heshima.

 “Tumeungana akina mama, wadada kwa kupitia kampeni ya ‘Super Woman’ ili kuweza kusaidiana wenyewe tukipeana mitaji, elimu kutokana na vipaji tulivyonavyo,” Alisema Gigy Money.

Aliongeza kwa kusema, kutambua thamani ya mwanamke wameamua kuachia wimbo mpya ambao unajulikana kwa jina la ‘Super Woman’ kwa ajili ya kuwapa faraja, nguvu na kuwatia moyo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles