24.1 C
Dar es Salaam
Friday, October 22, 2021

Sugu Fresh, Mandi aachia utamu wa ‘Maria’

Texas Houston, Marekani

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Texas Houston, Marekani, Sugu Fresh, amewapa mashabiki utamu wa wimbo wake mpya, Maria aliomshirikisha Mandi Classic.

Sugu Fresh ambaye ndani ya muda mfupi amejizolea umaarufu mkubwa, amesema anashukuru kwa mapokezi ya wimbo Maria ambao upo kwenye chaneli ya YouTube na tayari unachezwa kwenye redio na TV za Tanzania.

“Maria ni ngoma ambayo ilikua inasubiwa kwa hamu na mashabiki hapa Marekani na huko nyumbani Afrika, nimemshirikisha Mandi Classic ili aongeze utamu kwenye ngoma ya Maria, video ipo YouTube unaweza kwenda kuutazama,” amesema Sugu Fresh.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
162,740FollowersFollow
522,000SubscribersSubscribe

Latest Articles