Startimes yaongeza chaneli tano

0
970

Mwandishi wetu

Kampuni ya ving’amuzi ya Startimes imeendelea kuwaboreshea huduma wateja wake kwa kuwaongeza chaneli zaidi ya zile tano za mwanzoni ambazo ni za burudani, michezo, jiografia na tamthilia.


Chaneli zilizoongezwa kwenye king’amuzi hicho ni pamoja na Fox, Life, ESP, ESPN 2, Natgeo Geograph na chaneli ya Natgeo wild ambazo zote zitapatikana kwa watumiaji wa Startimes Dish, Antena na wale watumiaji wa Application.


Startimes imeongeza channel hizo kwa lengo la kutoa uwanja mpana kwa wateja wake ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha jamii ya Watanzania na wateja wote wa king’amuzi hicho wanapata haki yao ya kuhabarishwa kwa gharama za chini kabisa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here