Startimes Kuelimisha,kuburudisha watoto wakiwa nyumbani kuepuka corona

0
729

Kampuni ya ving’amuzi ya Startimes imejipanga kutoa elimu na burudani kwa watoto walio majumbani kwa kipindi hiki ili kuwasaidia kutulia ndani kuepukana maambukizi ya virusi vya corona.

kupitia tamthilia ya kusisimua ya Radhia Sultan na General’s Daughter Startimes imedhamiria kuwapa burudani watoto kupitia tamthilia hizo zenye visa vya kweli na mafunzo, pia kupitia chaneli za kuelemisha watoto watapata wasaa wa kutazama vipindi vya elimu wakiwa majumbani.

Akizungumza na gazeti la MTANZANIA meneja mahusiano wa Startimes amewataka wazazi kulipia vifurushi vyao moja kwa moja mtandaoni kupitia App ya StarTimes On ama kulipia kupitia Airtel Money, Tigo pesa ,M-pesa na TTCL Pesa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here