20.5 C
Dar es Salaam
Saturday, August 20, 2022

Star Times yaadhimisha wiki ya wateja kwa kukata keki na wateja wake

JEREMIA ERNEST

KAMPUNI ya ving’amuzi ya Star Times imeadhimisha wiki ya wateja kwa kukata nao keki na kutoa zawadi katika makao makuu ya ofisi zao Mwenge Bamaga jijini Dar es Salam.

Star Times ina miaka nane tangu kuanzishwa hapa nchini ikiwa ni kampuni pekee ya king’amuzi inayopatika zaidi ya bara moja.

Akizungumza na wanahabari katika hafla hiyo oparetion meneja Mustapah Mmanga, amesema wiki hii wataendele kutoa zawadi tofauti katika maeneo wanayo toa huduma zao ili kusherekea wiki hii.

” Kila mwaka tunasherekea wiki ya wateja ya kwanza ya mwezi wa kumi kwa kuwafikia kujua matatizo yao na kuwashukuru kwa kutoa zawadi,” anasema Mmnga.

Aidha aliongeza kuwa wa timu ya ufundi itakuwa ikipita kila nyumba kwa ajili ya maboresho kwa wateja wanao hitaji.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
199,058FollowersFollow
551,000SubscribersSubscribe

Latest Articles