24.6 C
Dar es Salaam
Saturday, September 7, 2024

Contact us: [email protected]

Spika Ndugai aagiza kamati imuhoji Masele

Ramadhan Hassan

SPIKA wa Bunge,Job Ndugai ameitaka Kamati ya Kudumu ya Haki,Maadili na Madaraka Bunge kwenda kumuhoji Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Afrika,Stephen Masele.

Agizo hilo amelitoa Leo Mei 20 wakati Wabunge wakichangia mjadala wa Wizara ya Kilimo.

“Nawaomba Kamati ya Maadili mwende sasa maana Mheshimiwa Masele ameishafika,” amesema Spika Ndugai.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles